Zari na Diamond wajibizana kwa maneno makali instagram
Baada ya msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz kupost picha na ujumbe kali kuhusu mpenzi wake ‘Zari’ kutokana na picha ya mama watoto wake huyo akiwa kwenye bwawa la ndani ya kuogelea na mwanaume mwingine, Zari Naye amejibu….
Diamond Platnumz aliandika ‘Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa'
Baada ya post hio na ujumbe huo wa Diamond, Zari aliweka post hizi kama ufafanuzi akisema ‘He is my kids uncle, the lates’s cousin’akimaanisha ‘Mwanaume aliyeonekana nae katika picha ni binamu wa marehemu Ivan’
Na hii post ya pili ina picha nne za kilichoendelea kwenye pool hio… ikiwa na ujumbe ‘And to the fools circulating this nonsense mnitole nja zakisen*e kwa maisha yangu punda nyinyi‘
Lakini post hizi zilifutwa baadae
No comments