Manchester united yakamilisha usajili wa lindelof
Klabu ya Manchester United (The Red Devils) imekamilisha usajili wa beki Victor Lindelof ,22 kutoka klabu ya Benfica kwa ada ya Pauni milioni 30.7.
Victor Lindelof ameshawasiliCarrington leo kwa ajili ya vipimo vya afya na kukamilisha usajili wa kujiunga na Man United
Picha zaidi
Picha zkimuonesha akiwa manchester
Victor amekuwa target ya meneja Jose Mourinho toka January mwaka huu.
No comments