Header Ads

Yaya Toure kuongeza mkataba wa mwaka mmoja Man City



Midfielder Yaya Toure amesign mkataba mpya wa mwaka mmoja klabuni Manchester City,club hio ilitangaza Alhamis kua Toure alijiunga klabuni hapo kutoka Barcelona mwaka 2010 na kacheza mara 299 kwa mashindano yote ya club hio, kafunga magoli 81, lakini alikosa mechi kadhaa za msimu huu kutokana na utovu wa nidhamu na kuendelea kikosini hapo baada ya kukiri kosa na kuomba msamaha alisema Man city ni timu bora na inaelekea pazuri kutokana na kua na wachezaji bora ivo anafuraha hata kwa mashabiki wa timu hio.Man city ilimaliza nafasi ya tatu.



No comments

Powered by Blogger.