Header Ads

JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO KUWA NYEPESI

Mpendwa mwanateknolojia leo nakuja na njia ambayo wengi walikua wakiihitaji sana.Je wewe unatatizo la simu janja yako (smartphone) kua slow hadi ukataka kuitupa kwa hasira? Usiwaze leo nmekuletea njia mpya ya kukusaidia anza na mimi

  1. Nenda settings kwenye simu yako nadhan tayariSasa nenda About phone kisha click build number mara tatu kwa haraka sana utaona maneno (You are now a developer)

    2.Hapo kwanza pumua kidogo afu  tuendelee

    3.Rudi kwenye settings utaona kimeongezeka kipengele cha Developer's option kisha bofya


    4.Shuka hadi sehemu ya windows animation scale ,Translator animation scale na Animation duration scale kisha weka off au x1 hapo kazi imeisha simu yako ishakua nyepesi

    Hapo utakua umemaliza nifollow insta @pryncebyzooh

     

1 comment:

  1. Mbona mimi kwangu hakuna hicho kipengele cha translator animation??

    ReplyDelete

Powered by Blogger.