Header Ads

Depay kaachia ngoma iitwayo"La vibes freestyle"akiwa na mchezaj mwenzake Quincy

Story kwamba nyota wa timu ya Taifa la Uholanzi ambaye zamani alikuwa anaichezea Manchester United Memphis Depay ni mmoja kati ya wachezaji wa soka ambapo pia wana uwezo mkubwa wa kuimba hazikuanza leo.


Ili kuthibitisha hilo mchezaji huyo wa Lyonya Ufaransa ameachia video ya wimbo LA Vibes Freestyle 1.0. alioimba akiwa na mchezaji mwenzie wa Uholanzi Quincy Promes.

Depay ambaye kwa sasa yupo Californiakwa ajili ya mapumziko ameachia wimbo huo na saa moja tu tangu kuwekwaYouTube ulitazamwa zaidi ya mara30,000.

No comments

Powered by Blogger.