Jayz na Beyonce wapata watoto mapacha
Tovuti ya Tmz mapema leo imeripoti kuwa Beyonce na Jay Z wamepata watoto mapacha.
Hii imekuwa stori kubwa wiki nzima huku mashabiki wakisubiri lini Beyonce atajifungua. Watoto hao wawili wa The Carters wamezaliwa kwenye hospitali mjini Los Angeles.
Mpaka sasa haijulikani jinsia za watoto hao, palikuwa na tetesi ni mvulana na msichana, ila hakuna ushahidi tosha wa kupitisha hilo…
Jay Z na Beyonce tayari wana mtoto wa miaka mitano, Blue Ivy
Share na Marafiki
@princebyzooh
No comments