Dj Khaled kajisifia kupata collabo na drake
Baada ya kupata colabo za Drake kwenye album zake Producer na Dj maarufu, DJ Khaled amefunguka na kusema sio rahisi kupata colabo ya Drake kwenye album au rekodi yako.
Kwenye interview Khaled anasema “Sio watu wengi wanapata colabo na Drake,Sio rahisi,lazima uwe mtu special kupata colabo na Drake,lazima akupende na akukubali sana, ata interview ya Drake ni ngumu kupata, lazima apende unachofanya na energy yako“.
Khaled aliongezea kuwa Drake ni mtu Special na kwamba yeye mwenyewe anajiskia Special kufanya naye kazi.
Producer No I.D azungumzia mchango wa Beyonce kwenye album ya JAY-Z ‘444’.
No comments