Header Ads

HAITHAM KIM – PLAY BOY FT. WEMA SEPETU (OFFICIAL VIDEO)

Msanii wa kike anayepanda kwa kasi hapa bongo,Haitham Ghazal"Haitham" 


chini ya Mj records kaachia ngoma aliomshirikishaa staa wa bongo movie Wema Sepetu ingawa hajaonekana kwenye video inaitwa Play boy itazame hapa.

         

Usisahau kucomment,kushare na pia kusubscribe kwa email ili nikutumie kila habari za entertainment na ngoma kali from allover the world.

No comments

Powered by Blogger.