BASATA WAFUNGUKA KUHUSU KUMFUNGIA DIAMOND NA RAYVANNY SHOW NA KUFUTWA KIBALI CHA WASAFI FESTIVAL
Kwa mara ya kwanza Basata wamefunguka kuhusu kimfungia Diamond na Rayvanny kufanya show ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana na kufutwa kibali cha Wasafi festival 2018.
Kaimu mtendaji wa Basata Ndg Onesmo Kayanda ameongea na BYZOOH TV kuhusu sakata ilo sikiliza audio hapa chini
Awali ijulikane kwamba ilisambaa picha ya waraka was Basata kwa Diamond na Rayvanny.
No comments