Amber lulu kamsifia Wema Sepetu kuhusu mwonekano wake mpya
Video Model maarufu Tanzania na hit maker wa wimbo wa #MtakomaAmber Lulu ameweka ujumbe wa sifa juu ya Umbo la Wema Sepetuakidai kuwa ata kama ni feki, yeye pia analitaka, Zari abaki na sura tu…
Kwenye IG Yake Amber anaandika >>” Mmh sema hata kama fake me nautaka kwa uzuri huu me nipo tayari kuwa fake tuu fire fire fire Sura Zarina Hasani we kaa nayo tu ata mbuz anayo shepu sepetu wema nipe Mimi “
No comments