Header Ads

Ngoma nyingine ya kimataifa kafanya na Major lazer itazame hapa

Baada ya muimbaji huyo wa Nigeria kufanya ngoma na mastaa wakubwa duniani kama Chris Brown, Ty Dolla $ign, na Drake, sasa hivi ameamua kuja na ngoma mpya “Naughty Ride” aliyowashirikisha kundi a muziki la Major Lazer kutoka Marekani.

Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo, kupitia mtandao wake wa Twitter ameandika, “Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday ! ðŸ”ŠðŸ”Š.” Sikiliza wimbo huo hapa chini
f,

No comments

Powered by Blogger.