Mtv base kusuluhisha beef la Godzilla na Wakazi
Kituo cha runinga cha kimataifa cha MTV Base kimeingilia kati kufuta ubishi kati ya Godzilla na Wakazi wanaotambiana kwa uwezo wa utunzi wa mashairi na mtindo huru (Freestyle).
Mpaka sasa wakazi anaongoza kwa votes akiwa na votes70% na yamebaki masaa 12 kupiga kura kufungwe
Je unadhan nan n mkali sikiliza diss track ya wakazi hapaa.
Wakazi aliingia studio na kutunga diss track ya jina la Zillnass Zillnass
Pia Godzilla akatunga diss track ya jina la Power

No comments